Aibu ya 7-0, Simba SC yamuuza Juuko bei chee, beki mpya kutoka Burundi asajiliwa

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Ni Paulo Bukabu kutoka Atletico Olympique ya Burundi.
Taarifa zaidi zinakuja so usitoke hapo ulipo.....
 
Afisa habari msaidizi wa Manara hiyo chee ndio shilingi ngapi?!

Arage Jekundu.
 
Jina nimeli gugo .....

Yaliyotokea Mungu mwenyewe ndio anajua..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…