Aibu ya jiji la Arusha.

Aibu ya jiji la Arusha.

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,053
Reaction score
2,207
Inasikitisha kuona timu ya AFC ni kichwa cha mwendawazimu katika ligi kuu ya bara.kibaya ni ukata uliokumba timu hii kiasi cha kushindwa kuweka kambi.
Ma tycoon wa arusha mmeishiwa nini?
 
tuko busy na umeya. Na isoteshe hii timu anaihudumia Batilda na haja..
 
Inasikitisha kuona timu ya AFC ni kichwa cha mwendawazimu katika ligi kuu ya bara.kibaya ni ukata uliokumba timu hii kiasi cha kushindwa kuweka kambi.
Ma tycoon wa arusha mmeishiwa nini?

Tatizo la AFC ni timu ya mitaani hakuna mwenye nayo. Kila kunapokwepo na tija ya kuunda tume ya kuendesha timu yaani kamati ya timu basi lazima shehe fiulani na yule mzee marehemu stadium store au mtoto wake awepo kwenye timu au kamati ya kuongoza timu.

Matajiri kama wapo inabidi wakitoa hela kupeleka timu mbele nao waswahili wanataka kumega gharanma za kuiweka timi kambini.

Kwa hiyo AFC ni shamba la bibi, timu ya waswahili wa bondeni na mtaa wa majengo
 
Back
Top Bottom