Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 530
Walipewa nafasi ya kujadili marekebisho ya Katiba; CDM wakaleta hoja zao kupitia Waziri kivuli wa Sheria; Tundu Lisu, Bunge likapokea hoja lkn badala ya kujadili hoja wakaleta vioja, wakaanza kumjadili Lisu na kupitisha huo mswada.
Sasa JK anatakiwa kusaini ifikapo Dec 1. Kwa hali ilivyo, kuna dalili JK huenda asisaini na kurudisha mswada Bungeni ujadiliwe upya, maana hana chakupoteza, ni fursa kurudisha umaarufu wake maana hana cha kupoteza 2015.
Aibu yaja Kwa Bunge, Wabunge wa CCM, CUF na Spika Makinda