Walipewa nafasi ya kujadili marekebisho ya Katiba; CDM wakaleta hoja zao kupitia Waziri kivuli wa Sheria; Tundu Lisu, Bunge likapokea hoja lkn badala ya kujadili hoja wakaleta vioja, wakaanza kumjadili Lisu na kupitisha huo mswada.
Sasa JK anatakiwa kusaini ifikapo Dec 1. Kwa hali ilivyo, kuna dalili JK huenda asisaini na kurudisha mswada Bungeni ujadiliwe upya, maana hana chakupoteza, ni fursa kurudisha umaarufu wake maana hana cha kupoteza 2015.
Aibu yaja Kwa Bunge, Wabunge wa CCM, CUF na Spika Makinda
Mkuu sidhani kama hilo linaweza kutokea, JK atasaini mkataba huo pasipo mashaka yoyote yale.
Labda ungenipa sababu nyingine za kushindwa kusaini mswada huo.
Alisha sema atasaini fasta
Naamini JK atataka atuachie jema ambalo kwalo tutamkumbuka. Pili, shinikizo la kupinga kukimbizwa kwa marekebisho ya Katiba kutoka ndani na nje ya nchi limeongezeka. Mwisho, kulazimisha matakwa ya CCM kwenye suala hilo ni kuwadhulumu WaTz haki yao kujadili katiba yao laweza kusababisha vurugu kubwa zisizotazamiwa.
Walipewa nafasi ya kujadili marekebisho ya Katiba; CDM wakaleta hoja zao kupitia Waziri kivuli wa Sheria; Tundu Lisu, Bunge likapokea hoja lkn badala ya kujadili hoja wakaleta vioja, wakaanza kumjadili Lisu na kupitisha huo mswada.
Sasa JK anatakiwa kusaini ifikapo Dec 1. Kwa hali ilivyo, kuna dalili JK huenda asisaini na kurudisha mswada Bungeni ujadiliwe upya, maana hana chakupoteza, ni fursa kurudisha umaarufu wake maana hana cha kupoteza 2015.
Aibu yaja Kwa Bunge, Wabunge wa CCM, CUF na Spika Makinda
Ibra, si mpaka!.Walipewa nafasi ya kujadili marekebisho ya Katiba; CDM wakaleta hoja zao kupitia Waziri kivuli wa Sheria; Tundu Lisu, Bunge likapokea hoja lkn badala ya kujadili hoja wakaleta vioja, wakaanza kumjadili Lisu na kupitisha huo mswada.