Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Kwa taarifa ya katibu mkuu wa CHADEMA, ni wazi kuwa Press ya leo ya ndugu Wenje ililenga kulaghai wanachama na wajumbe kwa lengo la kujipatia kura.
Je, alitumwa na nani kufanya hivyo? Je, amewafanya wajumbe kuwa wajinga kiasi hicho? Kwa taarifa ya Mh. Mnyika ni wazi kuwa hata mambo mengine aliyozungumza yasiyo husiana na Join the Chain huenda ni ya ulaghai na udalali.
Hii ni aibu kwa Wenje na Mbowe.