Mkuu, sasa Mwamposa anaingiaje hapo?Wenje leo ndiyo kajimaliza kabisa kama sadaka ya Mwamposa.
Kwa taarifa ya katibu mkuu wa CHADEMA, ni wazi kuwa Press ya leo ya ndugu Wenje ililenga kulaghai wanachama na wajumbe kwa lengo la kujipatia kura.
Je, alitumwa na nani kufanya hivyo? Je, amewafanya wajumbe kuwa wajinga kiasi hicho? Kwa taarifa ya Mh. Mnyika ni wazi kuwa hata mambo mengine aliyozungumza yasiyo husiana na Join the Chain huenda ni ya ulaghai na udalali.
Hii ni aibu kwa Wenje na Mbowe.
Leo imekuwa siku mbaya sana kwa kambi ya MBOWE na CCM kwa ujumla.Kwa taarifa ya katibu mkuu wa CHADEMA, ni wazi kuwa Press ya leo ya ndugu Wenje ililenga kulaghai wanachama na wajumbe kwa lengo la kujipatia kura.
Je, alitumwa na nani kufanya hivyo? Je, amewafanya wajumbe kuwa wajinga kiasi hicho? Kwa taarifa ya Mh. Mnyika ni wazi kuwa hata mambo mengine aliyozungumza yasiyo husiana na Join the Chain huenda ni ya ulaghai na udalali.
Hii ni aibu kwa Wenje na Mbowe.
Kuna aina ya sadaka kwa Mwamposa inaitwa sadaka ya kujimaliza yaani toa kila ulichonacho.Mkuu, sasa Mwamposa anaingiaje hapo?
Hata uenyekiti Kanda ya Victoria alipata kwa magumashi na lazima tunamvua tu ametuabisha sana sisi wa Kanda ya ziwaTuhuma kuhusu Wenje ni za kweli kwamba ni dalali na wamekula hela,sasa anashindwa kuleta jibu sahihi anaamua tu kupaka wote mavi, nadhani kama Makamu mwenyekiti anapigiwa kura basi anaweza asipate kabisa,nadhani hata baada ya uchaguzi wa chama hatapitishwa agombee ubunge tena maana hana mvuto ni roporopo tu
Anakaa chini kabisa kwa makusudi kutunga uongo kwamba hela za the chain ilikuwa ya kumpindua Mbowe,yule jamaa hawezi kuaminika tena sidhani kwa yote aliyoongea hata 10% ya ukweli hamnaHata uenyekiti Kanda ya Victoria alipata kwa magumashi na lazima tunamvua tu ametuabisha sana sisi wa Kanda ya ziwa
Dogo PAMBALU mwenyekiti wa bavicha taifaa alie maliza muda wake ilibidi ajitoe kwenye UCHAGUZIHata uenyekiti Kanda ya Victoria alipata kwa magumashi na lazima tunamvua tu ametuabisha sana sisi wa Kanda ya ziwa
Wenje yuko uchi.Dogo PAMBALU mwenyekiti wa bavicha taifaa alie maliza muda wake ilibidi ajitoe kwenye UCHAGUZI
maana WENJE alitumia misuli ya pesa kushinda Victoria Ila mjaluo ojwang hanaga hoja na kwa Sasa hana CREDITILITY YA KUA MWANACHADEMA HATA KWA DAKIKA MBILI