Aibu ya Mwaka Mpenzi wangu kaja amelewa hajitambui!!!!!

kama vp muongezee zingine au kama huna pesa mwambie achape yebo.
 
kumbe ulitaka aje mzima, apretend kuwa hanywi, mkiingia kwenye ndoa ndo aonyeshe makucha yake?
 
Kiongozi hata me nilishindwa kumuelewa na kumvumilia pia maana cku hz wasichana wanaangalia hela ss kaleweshwa huko cjui wamemfanya nn aje amalizie hasira zake kwangu haiwezekani!
@cement, mweshowe uliiweza kumpenda na kumuogeelsha na kujua kinachaotakiwa kujulikana toka kwake..? I mean did manage to love the hell out of her??
 
mmhhh! hiyo kali tena, amekuwa muwazi sana kwako kwa kukukwambia ndo life style yake. uamuzi ni wako usije sema hakukwambia.
 
Nyota njema uonekana asubuhi. Kazi ni kwako.
 
utaweza tu
 
Tatizo bro ni nini? wewe mpe maji akoge,gonga hiyo kitu kibubu bubu pombe yote itamtoka.
 
Leo. Nimempotezea kauliza nije nikamjibu hapana usije si ulikuja jana inatosha!!!!!
 
amekuwa mkweli kwako na hiyo ndo staili ya maisha yake, kama unaona huwezi chapa lapa mapema au na wewe anza kunywa pombe muwe mnaenda wote kilabuni
 
Haya sasa . . . . . Huyo dada ameshatendwa mara kibao, na bado ana maumivu ya past relationship (I think so). Ndio maana hakuona umuhimu wa kuheshimu muda wa kukutana na wewe mapema. Isitoshe jiulize alikuwa anakunywa na nani? Au alikuwa na kampani na akina nani?
 
siku nyingine akija hivyo wala usilembe mkuu....wewe mkaribishe room mpe warmly welcome ...then kula TiGo faster akipata fahamu nini kimetokea utaona kama siku nyingine atakuja huku amelewa au laaa...otherwise niPM namba yake faster!
 
umetunga hii story! sijui kwanini lakini moyo wangu UMEKATAA! guys mnaweza fanya mtu akaonekana wa ajabu sana, MUNGU anaona ujue! in Pretas 'S voice
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…