Aibu ya Tanzania yaanikwa uwani

1. Hakuna wataalamu wa afya wa kutosha na pale ambapo wapo hiko vijijini wengine hujishughulisha zaidi na mambo yao binafsi k.m kulimisha mashamba, biashara nk. wakiwaacha wananchi wakiteseka.

MaMkwe, sasa unawalaumu hao wataalamu kwa mambo yao binafsi? Bila ya hayo mambo yao binafsi watakula wapi? Polisi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…