Aibuuu Emmanuel Mbasha amtongoza Carry aambulia cha mbavu

Duuh aibu umepata wewe sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu mwenyewe wa kawaida sana, Mademu kama hawa wanatakiwa wakae waolewe, mitandao wawaachie watoto wazuri..

Sasa huyo kutongozwa na mbasha anaona kapata Dodo, wakati mbasha anaona ni hasara
 
HUU NI USHAMBA WA MTANDAO AU LABDA NI KUTAFUTA KIKI, DEMU KAMA HUYO ASISHANGAE BAADAE ATAKAPOKOSA MWANAUME WA KUMTONGOZA SABABU HATA UKIMUOA HUYO SIRI ZA NDANI ATAZITOA NJE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...wakua nanukuu maneno ya mbasha "Kwanzaa unaishi na nanii mwilini"" eti ana nini huyu carry alielewa anielekeze tafadhali eti sister hence amemaanisha nini
 
Mambo ni mengi muda mchache,mtumishi wa mungu Emmanuel akibishana na wakimataifa.
 
Mbasha hawez mtongoza huyo cary..demu ni mbovu,kakauka kama kaukau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…