Aidan Powers: Hydrogen peroxide na maji, siri ya watu wasiopata ugonjwa wowote

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Chukua hydrogen peroxide tia kwenye beseni la maji koroga. Zamisha uso sekunde 30 tu. Refer Dr. Harch's method.
 
Nimepokea email kwa Numerologist Aidan ambaye ananitumia kila wiki. Email ya safari hii ndo inaeleza habari hizo. Ajabu
 
Naomba msaada wenu wadau kama hii njia inaswihi(kubalika)au la. Anasema njia hii imebuniwa na Dr. Harch imesaidia wengi.
 
Mada yako inaelekeza watu wafanye kitu chenye manufaa kwa afya zao, lakini ajabu unaelezea kwa harakaharaka bila kufafanua. Hiyo hydrogen peroxide ikoje na inapatikana wapi?Hebu toa link ya huyo mtaalamu aliyekuelekeza tumsome.
 
Wakuu hiyo hydrogen peroxide iko sensitive na macho, VP ikikuingia wakati wa tendo hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…