MamaParoko
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 463
- 60
Refer to VOR thread about AIDS (linked below) I have attached this book by Dr Gary Glum.
Please read carefully and share your thoughts, do you believe his theory?
View attachment 35624https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/161616-origin-of-aids.html
if you press kwenye link hapo palipoandikwa full disclosure you will be able to download it in pdf.MamaParoko Dear?
@Red ... Am asking ... where is the attachment of the Book you said!?
M'paroko!You r good! Nimekipata ... am doing the reading 'will come back!if you press kwenye link hapo palipoandikwa full disclosure you will be able to download it in pdf.
Niliposoma heading ya thread i thot kua juzi kati VOR karusha a related topic...
I think it would have been better hio attachement u post katika hio thread.
Would have been so logical and beneficial kwa wengi....
Agh! Sijui nilikuwa nafikiria nini? Your right Ashadii, kama kuna njia ya kuunganisha hizi threads ningependa kuwaomba Mods wafanye hivyo.
Bahati mbaya nimesoma first few pages, naendelea kusoma kidogo kidogo, but kama haya yanayosemwa yana chembe ya ukweli, kazi tunayo watu wa dunia ya 3.Eeh MamaParoko you r so kind...Nilitegemea hapo ujitetee kama nini! Nimependezwa an responce yako!
Mod Unganisha ...
Mama P ..Kitabu karibu namalizia kusoma ... kina nondo ile si mchezo!! Nitatoa hoja baadaye ... nategemea umekipitia pia!!
Bahati mbaya nimesoma first few pages, naendelea kusoma kidogo kidogo, but kama haya yanayosemwa yana chembe ya ukweli, kazi tunayo watu wa dunia ya 3.