TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
China iko mbioni kufungua Benki ya Kimataifa ya Maendeleo itakayokuwa na hadhi karibu sawa na IMF na WB baadaye mwaka huu. Imetoa furusa kwa mataifa yote kushiriki katika uanzishwaji wake kama washirika muhimu. Mwisho wa furusa hiyo ni 31/03/2015.
Ndiyo najiuliza wachumi na wana mipango wa nchi hii hawakuona furusa katika benki ya kimataifa wa mshirika wetu muhimu China ? Au hatukona umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wetu na China katika hili. Urusi wao wameiona furusa hiyo.
Boosting Bilateral Ties: Russia Vows to Join Chinese-led Development Bank / Sputnik International