TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
BRICS ni muungano wa kushirikiana hasa kiuchumi (siyo benk) kwa mataifa ya Brazil, Russia, India, China na South Africa. Bado muungano huu upo na unaendelea. Na kudhibitisha hili kati ya nchi washirika hakuna mwenye mzozo na mwezake. Na kama upo unamalizwa kimya kimya.Ile ya BRICS iliishia wapi?
BRICS ni muungano wa kushirikiana hasa kiuchumi (siyo benk) kwa mataifa ya Brazil, Russia, India, China na South Africa. Bado muungano huu upo na unaendelea. Na kudhibitisha hili kati ya nchi washirika hakuna mwenye mzozo na mwezake. Na kama upo unamalizwa kimya kimya.