Aiii we bwana weewe kunyima mwenzio dhambi kidude unpewa na mungu buree!

Mama Big

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
488
Reaction score
7
Asalaam aleikum, bwana asifiwe, tumsifu yesu kristo, kristo, mambo vipi wanaJF natumai mmeamka salama. Jana nimekutana na mkasa kwani huku nilipo kuna sehemu inaitwa uwanja wa fisi akaja nsichana nmoja na kuketi nasi baada ya muda kadri kinywaji kinavyoendelea kushuka akaanza kuntongoza kijana aliyekuwa jirani na meza tuliyokuwa tumekaa akamwambia 'aaiii bwana weewe! Kunyima mwenzio kidude ulichopewa na mungu bure dhambi' na akamngangani yule jamaa npaka wakaondoka wote..duu inasemekana huku huhitaji kuchangia ili upate huduma kila kitu buree wapelekwa nyumbani wapikiwa samaki nchanga na vituzz na majambozz free of charge...itabidi nikirudi nitoe somo kwa dada zetu wale wa ntaa wa uhio na kwingine
 
duh hiyo kali kwani kanisa lile pale halifanyi mamboyake?nasikia hiyo biashara ilishasahaulika pale siku hizi ni uwanja wa sifa jamani loh...bwana yesu asifiwe...
 
Mama Big

Kuna taarab moja ina maneno kama haya (sijuimwimbaji)

"..Kila uonacho wakitolea macho ..wataka kukichukua..."
"..Japo siyo chako wakitolea macho..wataka kukichukua.."

E.t.c
 

hahahahaaaaaaaaa... busted!!
Dude... dah... what a female language

WEWEEEEE
 
duh hiyo kali kwani kanisa lile pale halifanyi mamboyake?nasikia hiyo biashara ilishasahaulika pale siku hizi ni uwanja wa sifa jamani loh...bwana yesu asifiwe...

Uko nje ya maada mwenzie anadai uwanja wa fisi wa kusini mwa Tanzania
 


leo naona mmeanza mapemaaaaaaaaaaaaaa:tape:
 

HA HA HA HA Umenikumbusha ule wimbo ulioimbwa na Banza Stone enzi hizo yuko TOT.

Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana, haina maana kunyimana
Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana, haina maana kunyimana
Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana, haina maana kunyimana
Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana, haina maana kunyimana :music::music::music:
 
Jana tulikuwa na kimbweka leo mama big mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
someone was suspecting Mama Big is not a she ............ and I am about to agree :thinking:
finest upo?bgrta?
maneno aya mistak ..apana skia
nan alienda kumpokea mama bg jana?
 


mmmhh bwana
huo wimbo unaheshima zake...
na kumbu kumbu za hatari..
but thanx for remind us ...
wimbo mtakatifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…