Mzee Said ukiacha udini, utakuwa na heshima kubwa sana kwa taifa, hii mada umemzungumzia mkristo, lakini umetafuta marafiki zake waislamu ili tu kuonyesha kulikuwa ns waislamu
Alama umenikumbusha rafiki yangu pia, marehem Mariam Abdul Sykes. Tulipoteana miaka mingi nikapata habari hapa hapa JF kuwa alifariki South Afrika. Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Pamoja na chembe chembe za udini ndani ya Mwanahistoria huyu Nguli,Nitoshe kusema Mtu huyu ni HAZINA kubwa katika Historia ya Taifa hili.
Uishi miaka mingi Mzee Said!!!