Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Feb 16, 2025 #21 Sidhani kama haya yanawahusu wastaafu labda kwa njia zingine ila sio hizo Hizi mbinu ni kwa vijana wasaka pesa za haraka haraka ila wastaafu tunazo na hazitoki kwa betting au crypto Mstaafu tayari anazo
Sidhani kama haya yanawahusu wastaafu labda kwa njia zingine ila sio hizo Hizi mbinu ni kwa vijana wasaka pesa za haraka haraka ila wastaafu tunazo na hazitoki kwa betting au crypto Mstaafu tayari anazo