Kawasahau mtoa UziSisi wazee wa salamu huko PM mnatuweka kundi gani?
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mimi na ww dogo rupo kwenye namba 9Tusio na i.d koment zetu tunaweka wapi ?
Atakayemwona anayeuza bagia anshtue ... Nna njaa kinoma
Nmetoka jukwaa la entertainment zimeisha
Itakua ni idadi ya ng'pmbe kuanzia sabaKundi ndo nini kwa kiswahili
Umepika?Kawasahau mtoa Uzi
Eeh. Ndizi utumbo za Nazi na chai ya mdalasiniUmepika?
Rafiki bado hujulala jamani?Wanaume wenye tabia za kike ,kazi yao kuchambana na watoto wa kike na wenyewe mnawaweka wapi kundi la wanawake etii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rafiki nasubiria niongee na shemeji yako ndio nilale,amesafiri siwezi lala mpaka niongee naeRafiki bado hujulala jamani?
Ok sawa, naja kula.Eeh. Ndizi utumbo za Nazi na chai ya mdalasini
Sawa,basi rafiki kwa sababu leo upo mwenyewe nakuja kukupa kampani tulale wote!Rafiki nasubiria niongee na shemeji yako ndio nilale,amesafiri siwezi lala mpaka niongee nae
Rafiki mme wangu mzuri mno hahitaji msaidizi kabisa,,,Sawa,basi rafiki kwa sababu leo upo mwenyewe nakuja kukupa kampani tulale wote!
Mimi siji kusaidia chochote bali ni kutoa kampani ya kirafiki tu!...Rafiki ina maana huniamini?Rafiki mme wangu mzuri mno hahitaji msaidizi kabisa,,,
Basi rafiki wacha nilonge na shemejio kisha nilale,kesho
Mkuu nimelike comment yako,,Winga kumi na moko nasimama...
Ila hapo kwenye no nane. umetupa jiwe gizani..
KaribuOk sawa, naja kula.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]