We naambiwa uko 14 japo utabishaMi ngapi?
Asante Mamy !! So na wewe upo huko?Wewe itakuwa wamekutenga.
Au ulishawahi kuvujisha siri?
Pole
Wala sipo huko mamii..Asante Mamy !! So na wewe upo huko?
Namaanisha kama upo huko uniibie siri kwa nini nimetengwa maana haiwezekani nipitwe na maubuyu hivyo.
My lady, tupo wote
Wee boyaItakua ni idadi ya ng'pmbe kuanzia saba