sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
AINA 15 ZA WANAWAKE AMBAO UKIKUTANA NAO UNAPASWA KUVAA CONDOM
1:Kama anatatoo......... Vaa condom
2:Kama anakunywa bia.....Vaa condom
3:Kama anazima simu ukiwa nae....... Vaa condom
4:Kama anafanya kazi baa au saloni.... Rafiki yangu vaa condom
5:Kama anamarafiki wengi Facebook...... Kaka condom
6:Kama anakuwa wakwanza kukuvua shati na kuchomoa dushelele lao..... Usizubae vaa condom
7:Kama anapenda chama cha siasa kinachopendwa na anampango wa kugembea uongozi.................Vaa condom
8:Kama anawowowo la kichina...... Usisahau kuvaa condom
9:Kama anakipini puani, kitovuni au kikuku mguuni....... Vaa condom mbili
10:Kama anasoma UDSM, UDOM, SAUTI, USHIRIKA, Au MZUMBE...... Kumbuka condom
11:Kama anasemaga wanaume wote ni sawa.... Tafadhali vaa condom
12:Kama hakuambiii vaa condom....Vaa condom
13:Kama anavaa suruali ...... Bro condom
14:Kama ananyoa kiduku na kuweka breach..........vaa Condom
15:Kama anatokwa na povu kwasababu ya post hii....... Vaa condom Tatu,
Ndugu yangu thamini afya yako na maisha yako[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app