Aina 15 za wanawake ambao ukikutana nao unapaswa kuvaa condom

Mkuu huwa wana miujiza hawa. Bora kujikinga.
 

Mkuu salama,

Naomba niseme machache

Don't judge a book by its cover

Shukrani!





Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Umesahau hizi

17. Kama ANAJIFUKIZA Vaa ndom
18. Kama anavuta sigara/bangi vaa ndom


 
Umemsahau corona?
 
vaa condom ?
Ukimwi hauzuiriki hata kwa condom za bati,
Dawa ni moja tu nasema acha uasherati.
 
Mtumie condom huko mnapoelekea

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,

Kama kuna mahali nimekukwaza basi nisamehe sana.

Niko jukwaani hapa mwaka 11 huu sijawai

kutofautiana na Member yeyote hapa mpaka kupewa-BAN hivyo usinitafutie matatizo hayo tafadhali.

Naomba uondoe hizo quotes zako kwangu tafadhali.

Shukrani


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Samahani mkuu ni ushauri tu, sio lazima uufuate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…