Aina 5 za aliens wanaowasiliana na dunia


Mkuu co kuwa tamaduni za hao wanefili ziliwaathiri binadamu, bali accordn to bible kile kizazi hakukuisha kilibaki na hadi leo knaendelea
 
Hii mada imenifungua mambo mengi sana ambayo nilikua nawaza peke yangu bila kupata jibu,
Ahsante mtoa mada lakini ahsante zaidi ziende kwa wachangiaji,

Kuna mkuu hapo amesema habari ya mwezini, aisee nimepata elimu kubwa sana.

Nilikua na swali lingine,
Vipi kuhusu hizo sayari tunazoambiwa, je kweli zina exist?
Kama Mars kweli wanaweza watu kwenda kuishi?

Ina maana Mungu ameumba Dunia hii tunayoishi na zingine pia?

Naomba ufafanuzi kwa mwenye elimu nayo tafadhali.
 
Luqman alikua mwafrika kutoka Nubi South Sudan
 
Hii dunia zamani enzi za kina Jezus haikuwa na mipaka binadam aliweza kusafiri popote bila kuulizwa kitambulisho,Sasa ukianza ku hoji sijui Yesu na Mudi walitokea middle east itabidi nikusaidie kufikiri,Huu ubaguzi wa rangi kauleta mzungu tu mi huwa naona binadam wote ni watoto wa baba na mama mmoja mambo mengine utayapata katika biblia kwa undani zaidi.
 
Summarize hilo li habari lako.....!!!! Linaboa
 
Ilikuwaje hadi watu wakapata hiyo Idea ya mungu kipindi hicho?

Lazima ujue historia kwanza ndugu!,Hata Abraham hakuanza kwa kumuabudu mungu asiyeonekana!,Alianza kuabudu jua.

Lazima ujue kwamba kabla ya kuwa na mungu asiyeonekana kulikuwa na miungu inayoonekana!ambayo ilikuwa ni ya kuchonga(dhahabu,almasi,shaba n.k)

Baada ya watu kuuchonga miungu na kuiabudu kwa muda mrefu ilifika mahala wakachoka.Palitokea watu wenye uelewa wakabuni na kusema kwa nini tusiseme mungu haonekani na yuko mahala pote?.Ili mradi kuondokana na adha ya kuchonga miungu!.

Lazima ujue kwamba ukanda wa mashariki ya kati kuja misri walikuwa watu wa mwanzo kuvumbua maswala ya UNAJIMU pamoja na utunzaji wa kumbukumbu.Kwa hiyo hiki mnachoita vitabu vitakatifu ni mkusanyiko wa hadithi za mababu zao na mambo yanayohusu mila zao.

Wewe unaambiwa Walaka wa mtakatifu Paul kwa waefeso wewe msukuma umekomaa kwamba yanakuhusu.

Zinduka ndugu karibu sana kwenye ulimwengu huru

.......Free ideas....
 
Hebu toa mfano wa ambao utatupa picha wa jinsi ambavyo ingetakiwa iwe. Mfano jinsi mungu angetakiwa kujifunua kwa mataifa yote,na jinsi hivyo vitabu vingatakiwa vishuke vp kwa mataifa yote.
Ukishamaliza kufanya hivyo halafu utuambie kama ingefanyika hivyo ndio ingekuwa inaleta tafsiri gani?
 
Niliwahisikia jamaa mmoja kwenye redio akinuukuu mstali wa biblia na kuufananisha na hali halisi kuhusu uwepo wa hawa jamaa..

"pale ambapo Yesu anasema mchungaji aache kondoo wengine na kumfata mmoja alopotea..."

His inamaanisha sayari zip nyingine zenye uhai lakini yetu ndo ilikua imepotea, hii huwa inaniumiza kichwa sana sababu naonaga aliens wengine huwa wanaigizwa kuwa wapole mpaka uwachokoze
 
Lakini niliwahi fatilia google... Mda kidogo kuna this area ipo kusini mwa marekani mile 13 kitoka uso wa dunia kunaeneo ambapo wamarekani hushirikiana na aliens kuinua technology yao ya kijeshi na medically mkataba ambao ulifanyika whitehouse miaka ya mwanzoni 1950's
Alisema jamaa mmoja baada ya kufanikiwa kutoroka huko wakiwa wanne na wenzake wengine kuuliwa... Aliitupia kwenye mtandao siri yote
 
Haujajibu swali la idea ya mungu ilipatikana vp,umeanza kueleza aina za miungu mara masanamu.
 

Inasadikiwa kuwa hadi kufikia mwaka 2050 tayar tutakuwa na viumbe katika sayari ya mars ambao watatoka hapa duniani na kwenda kuanzisha maisha katika sayar hiyo.

Sio ajabu watu wa mungu watakuja kusema kwamba mungu aliumba dunia na mars akazipenda na kuzibariki[emoji23][emoji23].

Ni aibu kuwa na mwanadamu msomi kwa karne hii ambaye anaamini eti akifa kuna mtu sijui kitu kitamchoma moto!.Sijui kuna mtu sijui roho inahesabu makosa yake.Hivi mungu anatoa wapi muda wa kuhesabu makosa yetu?.Huu ni udhaifu mkubwa sana.

Karibu sana katika ulimwengu huru!

,..............Free ideas.......
 
Jibu lingine!
Ni kutokana na kujiuliza maswali kama hayo kwamba kwa nini sisi ni wanadamu na tumetoka wapi?,
Unawezaje kuthibitisha kuwa watu kipindi hicho walijiuliza wametokea wapi na jibu likawa ni kuna mungu? Na watu kama wamasai ambao hadi leo hawana idea hiyo unawazungumzia vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…