Aina 50 ya Online Business Platforms unazoweza anzisha Tanzania na uka-Dominate Soko

Fafanua japo kidogo mkuu, unamanisha nini juu ya kwa karibu na data Center, na inaathiri vipi online platforms?
Sidhani kama kuna ulazima wa kuwa karibu na data center, unachohitaji ni kuacess kupitia apps au remote acess
 
Dunia ya sasa inaelekea kwenye mambo ya cloud computing hivyo hizi platforms zitakuwa very valuable huko mbeleni. Kwa ulaya wanazitumia sana na zinawasaidia.
 
Naiomba niko chini ya miguu yako
 
Tunaomba haya madini tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All of this is far fetched.

Bado jamii yetu haipo tayari kutumia mitandao kufanya transactions za kila siku. Bado tunaamini mitandao ni sehemu ya kupashana habari tu sio biashara. Zinazosemwa kuwa biashara za online ni matangazo tu kama huko instagram ila manunuzi yanafanyika kwa njia za kawaida.

Jumia au amazon ya Africa pamoja na kuwekeza mamilioni ya pesa bado inasuasua. App ya mysafari kwaajili ya kukatia tickets za mabasi TZ iligonga mwamba baada ya watu kutoitumia kabisa na badala yake waliendelea kwenda ubongo kukata ticket za mabasi. Hii inaonyesha hatuko tayari

Aidha kuna changamoto ya addresses kwa huduma za delivery. Changamoto ya data, watu wanaweka bundle za kuingia mitandao ya kijamaa tu sio sites zingine. Kadhalika uelewa, unakuta mtu anasema FB ngumu kutumia leo ndo ataelewa jinsi ya kufanya manunuzi online.

Sina nia ya kuwakatisha tamaa, I'm just saying the obvious.
 
Hata mimi kimenistua kwakweli
 
 
Nasubiri hapa pia.
 
Asante kwa kutoa hio list. Wewe binafsi.. ni platform gani kati ya hizo 50 ungependa kuianzisha kama business project yako wewe mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…