Aina 50 ya Online Business Platforms unazoweza anzisha Tanzania na uka-Dominate Soko

Unataka 10M kwa ajili ya kumfungulia mtu platfom? hapa ndo naamini kwamba ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa yenyewe
 
Hongera mkuu ni wachache wanaweza kujitolea kutoa elimu hii.
 
Mkuu Safi sana Kwa ideas hizi Ubarikiwe
 
Somo zuri ,,,,

Lkn kwa Tanzania hii bado ,!

Ni watu wangapi wana access ya mtandao ? Wanatumia simu janja ? Ni wachache, na walioko na simu janja wengi wao hawajui kuzitumia vyema ! Anajua kupiga, kupokea, kutuma msg tu!!!
 

Tozo mpya za Miamala zitumike kutengeneza Walipa Kodi kwa hiari
 
Hilo tatizo linatatuliwa na marketing.
 
This is the future mkuu. Tazama pia freelancer sites kama upwork, fiverr na zinginezo zinavyorahisisha ufanisi wa kazi mbalimbali
 
Wakuu kuna fursa ya mtaji huku wa Tsh 50-200m huku. Deadline ni 31 Julai 2022

 
Thread km hizi hata comments haziwi nyingi,,, ila kule kwa rikiboy zinajaaaa tu [emoji1][emoji38][emoji3][emoji6][emoji1787][emoji12][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…