Aina 50 ya Online Business Platforms unazoweza anzisha Tanzania na uka-Dominate Soko

Ok.. bandiko zuri
 
Kama hizo idea zipo hapa na kila mtu akafanya utadominate soko la nani?
 
Generation tofauti. Watu waliozaliwa miaka ya 60-90 hawawezi kumudu maendeleo ya technology kama haya. Hasa huku kwetu ambako technology imechelewa kufika.

Lakini Kadiri muda unavyosonga na generation mpya ya 2000s au Gen Z iliyokulia kwenye technology inavyozidi kukua. Hizi huduma zitahitajika kwa wingi na zitashamiri marafudu hapa nchini na Africa nzima.

Ndani ya miaka 10 ijayo hizi huduma zitakuwa na faida sana kwa wenye vision. In 10 years tutakuwa na version yetu ya dotcom boom iliyotokea 90s-2000s.
 

A lot has to be done.

Hii comment niliandika 2020 leo ni 2024 bado tupo pale pale. Changamoto kubwa ni mifumo sio rafiki Africa. Apps za kawaida kabisa kama bus ticketing app zinashindwa kushika soko.

Zinazoitwa online business bongo ni mtu kupiga simu kwa seller au instagram na kuletewa mzigo. Kufanya online business bado sana bongo, mifumo sio rafiki hata kidogo. Jumia waliopewa chapuo la kuwa the amazon of Africa walisanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…