Aina 8 za wanawake ambao watakuchelewesha kimaisha

Wao kila siku wapo kwenye maombi, hata mtoto akiumwa badala ya kumpeleka kupima anapelekwa kwenye maombi
Wife alikuwa ananiletea pigo hizo nitawaita wazazi wake nikawaambia huyu kama anaendelea kuwasikiliza hao manabii namrudisha kwenu...
Aisje niharibia kizazi changu kwenye makuzi na jinsi ya kufikiri.
Maana hao manabii wenyewe hawawakuzi watoto wao kwenye hayo maujinga mfano nabii Fernandez wa agape
Mtoto wake amekuwa na exposure nzuri marekani na kwingineko Hadi kafanya ugunduzi mbalimbali na sio kutegemea stori za kinabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…