Aina bora za mashine za kutotoa vifaranga na bei zake

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Inahitajika mashine ya kutotoa vifaranga.
Sifa za lazima:
Iwe inatumia umeme wa Tanesco na Ikiwezekana umeme wa jua.
Iwe inayogeuza mayai (Automatic).
Iwe imara
 
Inahitajika mashine ya kutotoa vifaranga.
Sifa za lazima:
Iwe inatumia umeme wa Tanesco na Ikiwezekana umeme wa jua.
Iwe inayogeuza mayai (Automatic).
Iwe imara
umeshaipata mkuu mimi ni fundi wa hizo mashine kalibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…