muwelewele
Member
- Dec 3, 2016
- 34
- 29
Habarini za majukumu wanajamvi. Ningependa kujuzwa na kupewa ushauri wa aina bora (brand names)za zana za kilimo kama vile matrekta, mashine za kukamulia alizeti, karanga nakukoboa mpunga na mahindi.
Vile vile, ninaomba kujuzwa kuhusu namna ya uagizaji na gharama za zana hizi kutoka ughaibuni hususan China, India au Vietnam.
Ninatanguliza shukrani za dhati na ninaomba kuwasilisha.
Vile vile, ninaomba kujuzwa kuhusu namna ya uagizaji na gharama za zana hizi kutoka ughaibuni hususan China, India au Vietnam.
Ninatanguliza shukrani za dhati na ninaomba kuwasilisha.