johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mimi nafikiria PhD nzuri ni ile Jopo la Maprofesa linaitana na kukujadili baada ya kuona Utendaji/ Uwezo/ Ubunifu wako Uliotukuka Katika eneo fulani ambao hata watafiti hawajaufikia.
Baadae Jopo la Maprofesa linakuita na kukuomba Kwa ruhusa Yako Wakutunuku PhD.
Tofauti na hizi za madarasani za akina Suleiman wa Kisarawe ambazo hata tafiti zake ni za google.
Wewe unasemaje Dr Mshana Jr 😂