johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnataka ku-justify nini? uchawa ni kazi ngumu pia.Mimi nafikiria PhD nzuri ni ile Jopo la Maprofesa linaitana na kukujadili baada ya kuona Utendaji/ Uwezo/ Ubunifu wako Uliotukuka Katika eneo fulani ambao hata watafiti hawajaufikia
Baadae Jopo la Maprofesa linakuita na kukuomba Kwa ruhusa Yako Wakutunuku PhD
Tofauti na hizi za madarasani za akina Suleiman wa Kisarawe ambazo hata tafiti zake ni za google
Wewe unasemaje Dr Mshana Jr [emoji23]
Ni ujinga tupu yaani hakuna hata moja la maana amefanyaMnataka ku- justify nini? uchawa ni kazi ngumu pia.
🤣Ubinadamu kaziMimi nafikiria PhD nzuri ni ile Jopo la Maprofesa linaitana na kukujadili baada ya kuona Utendaji/ Uwezo/ Ubunifu wako Uliotukuka Katika eneo fulani ambao hata watafiti hawajaufikia
Baadae Jopo la Maprofesa linakuita na kukuomba Kwa ruhusa Yako Wakutunuku PhD
Tofauti na hizi za madarasani za akina Suleiman wa Kisarawe ambazo hata tafiti zake ni za google
Wewe unasemaje Dr Mshana Jr 😂
Honorary degrees eg Honoris Causa sio Doctor of Philosophy (PhD) achaMimi nafikiria PhD nzuri ni ile Jopo la Maprofesa linaitana na kukujadili baada ya kuona Utendaji/ Uwezo/ Ubunifu wako Uliotukuka Katika eneo fulani ambao hata watafiti hawajaufikia.
Baadae Jopo la Maprofesa linakuita na kukuomba Kwa ruhusa Yako Wakutunuku PhD.
Tofauti na hizi za madarasani za akina Suleiman wa Kisarawe ambazo hata tafiti zake ni za google.
Wewe unasemaje Dr Mshana Jr 😂