Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise umenikumbusha mbali na maharage ya kichumbaa tuliotesha sna na ile inaitwa lovirondoMaharage yenye bei ni soya ya njano hasa kama ukilima ile gololi. Ukilima ngwara ni deal ila hiyo uuze Kenya kibongo hailiwi.
Unaweza kulima pia Rose Koko (Nyayo), Soya Kijivu, Combat au Kichumbaa.
Haya maharage ni dhahabu aseeAchana na mbegu za ajabu ajabu maharage ya njano ni zaidi ya yote. Toka enzi na enzi yanakimbiza sokoni. Labda km hali hewa huko uliko isiwe rafiki.View attachment 2360935
Kichumbaa na lovirondo ni kilugha gani?Aise umenikumbusha mbali na maharage ya kichumbaa tuliotesha sna na ile inaitwa lovirondo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kimasai cha Arumeru.Kichumbaa na lovirondo ni kilugha gani?
✅🙏Kimasai cha Arumeru.