Aina gani ya mashine nzuri ya kunyolea?

Maisha ni bahari kubwa mkuu, wakati mwingine unapanda jahazi la kukupeleka mbali hata usiweze kuwa na mtandao au ukatindikiwa na mishughuliko...

Hata hivyo huwa napita nipatapo wasaa
 
Wakuu, Sasa hivi hizo mashie za viwango na original Dar nitapata sehemu gani? Na kwa bei gani?
 
Kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane mzigo unaondoka next week, malipo ukifika. Unatoka UK
 
Nataka msaada wa kujua ni aina gani ya mashine za kunyolea nywele zenye ubora na zenye kudumu kwa mda mrefu, kama unajua na bei yake na sehemu zinapopatikana ningependa nisaidiwe, lengo langu ni kufungua BARBER SHOP.
Pia pata japo moja ya kuchaji itakufanya uendelee na kazi bila umeme wa makamba pindi ukikata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…