Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Asante, naendelea kusubiri michango mingine zaidi.Mbegu inayofaa kulima kipindi cha mvua Ni mbegu ambayo imetengenezwa kuhimili sehemu kubwa ya misuko suko na changamoto na magonjwa mengi yanayokithiri kipindi cha mvua.
Ukiwa na lengo la kuzalisha mbegu hizi jitahidi kwenye makadirio yako wakati wa kuzalisha matunda uwe ni kipindi cha mvua, simply sababu zenyewe nyingi hua hazina uwezo wa kuhimili changamoto za kipindi cha jua.
Zipo mbegu nyingi tuu zinazoweza kulimwa kipindi cha mvua na zikafanya vizuri, miongoni mwa hizo ni Gamhar f1, Imara f1, Ansal f1, TO 135, DRD, Firenze, Rambo, Eden na shanty.
Uchaguzi wa mbegu pia unaendana na ukanda uliopo ili kupunguza hasara zinazotokana na mazingira.
Wazoefu watarekebisha penye makosa hapo
Poa mkuuNadhani machaguzi ya mbegu yanategemea na unapolima mkuu, mimi nimelima imara f1 pande za Ruaha Mbuyuni, dawa za ukungu zipo ni huduma tu unatoboa
Vp mzee matokeo yake. Ulipanda ekari ngap na ulivuna creti ngapNadhani machaguzi ya mbegu yanategemea na unapolima mkuu, mimi nimelima imara f1 pande za Ruaha Mbuyuni, dawa za ukungu zipo ni huduma tu unatoboa
Uliza changamoto Kwanza ukisha zijua fuatilia mavuno, jamaa alikwambia kapiga 22m kwa ekari utakurupuka hata kwa kukopa halafu unakutana na kantangaze anakupa uja wepesi na unazaa sifuri ogopa sana, nakushauri uzijue changamoto kabla ya kujua mavuno.Vp mzee matokeo yake. Ulipanda ekari ngap na ulivuna creti ngap
Masikaje mbegu ya edeni F1ni kipindi gani hulimwa
kwa sasa gram 25 shilingi ngapiMasika
Vp Bei ya hzo mbegu bora za NyanyaMbegu inayofaa kulima kipindi cha mvua Ni mbegu ambayo imetengenezwa kuhimili sehemu kubwa ya misuko suko na changamoto na magonjwa mengi yanayokithiri kipindi cha mvua.
Ukiwa na lengo la kuzalisha mbegu hizi jitahidi kwenye makadirio yako wakati wa kuzalisha matunda uwe ni kipindi cha mvua, simply sababu zenyewe nyingi hua hazina uwezo wa kuhimili changamoto za kipindi cha jua.
Zipo mbegu nyingi tuu zinazoweza kulimwa kipindi cha mvua na zikafanya vizuri, miongoni mwa hizo ni Gamhar f1, Imara f1, Ansal f1, TO 135, DRD, Firenze, Rambo, Eden na shanty.
Uchaguzi wa mbegu pia unaendana na ukanda uliopo ili kupunguza hasara zinazotokana na mazingira.
Wazoefu watarekebisha penye makosa hapo
Bei ipoje kwa punjeGamahr f1 n nzuri kaka, inazaa sana. Hautajuta japo ni bei sana inauzwa kwa punje.
Gama inazaa sana na kwa fujo hasa km utaipatia mbolea ya kutosha. Muhimu ikianza kuiva soko liwepo vinginevyo utajuta! Inaiva kwa kasi sana.Gamahr f1 n nzuri kaka, inazaa sana. Hautajuta japo ni bei sana inauzwa kwa punje.
Kaka naitaji kulima VIP uwezekano wa kupata shamba hapo ruaha mbuyun na bei zakeNadhani machaguzi ya mbegu yanategemea na unapolima mkuu, mimi nimelima imara f1 pande za Ruaha Mbuyuni, dawa za ukungu zipo ni huduma tu unatoboa
Punje elfu moja unaweza Lima eneo lenye ukubwa kiasi ganGamhar RZ,bei kwa sasa ni Tsh 43,000 kwa punje elf 1