Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

Yamaha Na Hiyo Honda 110
Nimezielewa Nadhani Tatizo Umasikini
 
Chukua Sanlg GN150 hii utadumu nayo spea zipo kibao. Kama ukipata GN 125 chukua baadae utabadili block na piston utaweka la 150.

Maana Sanlg 150 ina Hp 11 na Sanlg 125 ina Hp 9. Pikipiki hizi wametofautisha block na pistoni ukibadili utaipata sahihi.
 
Huoniao ukibeba mzigo kwenye barabara ya utelezi inasumbua na ni nyepesi kuhama.

Hiyo Sanlg kwenye Mud Guard ya mbele peleka kwa fundi atachomelea kibati na kuisogeza juu ili tope likinasa lisisumbue tairi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…