Aina hii ya Kamari inaruhusiwa Tanzania, duniani na mbinguni kwa Maulana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna majirani zangu wakiwa na akili zao ' timamu ' kabisa leo asubuhi wameamka na wakaja karibu na dirisha langu wakawa wanapinga / wanabeti ( wanacheza Kamari ) ambapo mmoja ni Mshabiki wa Simba kasema kwamba kama Simba itafungwa leo basi Yeye atamruhusu Mke wake akalale na jamaa wa Yanga hadi asubuhi huku Mshabiki wa Yanga Yeye kamwambia mwenzake kwamba kama Yanga itafungwa leo basi huyu Jamaa wa Simba atalala kwa mkupuo na Mabinti zake Watatu ambao kiukweli ni Warembo hasa.

Nauliza tena aina hii ya ' Kamari ' ya hawa Majamaa wawili inaruhusiwa nchini Tanzania, Duniani na hadi huko Mbinguni kwa mwenyewe mwenye kila kinachoonekana hapa Ulimwenguni au hawa Majamaa kuna uwezekano ni Watumiaji wazuri na wa Kutukuka kabisa wa ' Mmea ' wa Cannabis Sativa?

Nawasilisha.
 
SO WHAT?!?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu wewe ulishatabiri Simba kufungwa kwa style ya uchawi kwa nini usimshauri jamaa aachane na huo mpango wa kumegewa mke wake???maana upo kwenye kamati ya ufundi na ukweli unaujua kuwa Simba analala leo kupitia thread yako
 
Sasa mkuu wewe ulishatabiri Simba kufungwa kwa style ya uchawi kwa nini usimshauri jamaa aachane na huo mpango wa kumegewa mke wake???maana upo kwenye kamati ya ufundi na ukweli unaujua kuwa Simba analala leo kupitia thread yako

Nafurahi tu kufahamu kwamba kumbe GENTAMYCINE nafuatiliwa na wengi. Ama hakika ni ' Purely Talented and Charismatic Fella '.
 
Ha ha haaa....kuna mmoja wao Leo lazima ataliaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila nahisi mwenye Mabinti Watatu ataliza zaidi kwani kwa mujibu wa ' nujumu / tabiri ' za hivi punde zinasema Yanga anafungwa goli 3. Sasa ufungwe goli 3 kisha Mabinti zako nao Watatu ' Jamaa ' wa Simba anaenda ' kukubandulia ' hii si ni hatari sana Mkuu?
 
[emoji121]
HUNA AKILI!

NYIE WENYE VYETI FEKI MNAROPOKA SANA NYIE!

NENDA KARISITI UPATE ANGALAU DIVISHENI IV.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina uwezo wa kuwa ' Msomi ' kama Wewe Mkuu na kila Mtu humu JF anajua fika kwamba GENTAMYCINE nimeishia tu darasa la Saba ( 7 ). Hongera sana kwa kupata Division I na kuwa ' Msomi ' wa Kutukuka hivyo ulivyo Mkuu. Ni matumaini yangu makubwa pia kuwa hiyo Elimu yako unaitumia vizuri Kimaisha.
 
Mambo ya Uswazi hayo mkuu, wala hakuna anayemaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…