Ack Member Joined Dec 21, 2016 Posts 88 Reaction score 87 Mar 15, 2019 #1 Inawezekana umefanya utundu mwingi sana lakini sidhani kama na hii ulifanya.
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,505 Reaction score 5,715 Mar 15, 2019 #2 Hapo akila inakuwaje mkuu?
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Mar 15, 2019 #3 Mtego mrefu sana.
SPYMATE JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 2,071 Reaction score 1,960 Mar 15, 2019 #4 Watu tulikuwa na mitego ya vijiti na kitanzi tu Basi na tulikamata ndege wa kila Aina hata Karungu yeye waliwahi nasa kwenye mitego yetu. Huo wa jamaa una mlolongo mrefu na unapoteza muda tu
Watu tulikuwa na mitego ya vijiti na kitanzi tu Basi na tulikamata ndege wa kila Aina hata Karungu yeye waliwahi nasa kwenye mitego yetu. Huo wa jamaa una mlolongo mrefu na unapoteza muda tu