Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Kuna aina nyingi za utajiri wa kishirikina ambazo zinazungumzwa kila siku, ila kuna aina hii ya utajiri ambao watu wameunyamazia lakini unaumiza watu wengine katika utafutaji. Kuna watu kazi yao ni kuharibu nyota za watu na kuzichukua wao
Anaweza kuja kwako akakuazima pesa kidogo akaenda kutumia hela yako hiyo hiyo kukuchafulia nyota yako. Mtu huyu anaweza asikurudishie hela yako kabisa, au akairudisha hela ile ile baada ya kuichafua.
Unaweza kushangaa mbona mtu huyu yuko vizuri kiuchumi lakini ananiazima mimi choka mbaya hela.
Mungu atulinde na hili katika utafutaji wetu