Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Hili nalo mkalitazameKuna aina nyingi za utajiri wa kishirikina ambazo zinazungumzwa kila siku, ila kuna aina hii ya utajiri ambao watu wameunyamazia lakini unaumiza watu wengine katika utafutaji
Kuna watu kazi yao ni kuharibu nyota za watu na kuzichukua wao
Anaweza kuja kwako akakuazima pesa kidogo akaenda kutumia hela yako hiyo hiyo kukuchafulia nyota yako
Mtu huyu anaweza asikurudishie hela yako kabisa, au akairudisha hela ile ile baada ya kuichafua
Unaweza kushangaa mbona mtu huyu yuko vizuri kiuchumi lakini ananiazima mimi choka mbaya hela,
Mungu atulinde na hili katika utafutaji wetu
Kuna aina nyingi za utajiri wa kishirikina ambazo zinazungumzwa kila siku, ila kuna aina hii ya utajiri ambao watu wameunyamazia lakini unaumiza watu wengine katika utafutaji
Kuna watu kazi yao ni kuharibu nyota za watu na kuzichukua wao
Anaweza kuja kwako akakuazima pesa kidogo akaenda kutumia hela yako hiyo hiyo kukuchafulia nyota yako
Mtu huyu anaweza asikurudishie hela yako kabisa, au akairudisha hela ile ile baada ya kuichafua
Unaweza kushangaa mbona mtu huyu yuko vizuri kiuchumi lakini ananiazima mimi choka mbaya hela,
Mungu atulinde na hili katika utafutaji wetu
Well said mkuu, lakini najua wapo watakaokupinga, hawajui huu mziki ni mzito sanaKuna aina nyingi za utajiri wa kishirikina ambazo zinazungumzwa kila siku, ila kuna aina hii ya utajiri ambao watu wameunyamazia lakini unaumiza watu wengine katika utafutaji
Kuna watu kazi yao ni kuharibu nyota za watu na kuzichukua wao
Anaweza kuja kwako akakuazima pesa kidogo akaenda kutumia hela yako hiyo hiyo kukuchafulia nyota yako
Mtu huyu anaweza asikurudishie hela yako kabisa, au akairudisha hela ile ile baada ya kuichafua
Unaweza kushangaa mbona mtu huyu yuko vizuri kiuchumi lakini ananiazima mimi choka mbaya hela,
Mungu atulinde na hili katika utafutaji wetu
Vipi hii?Kuna hawa mademu anajifanya amekosea kulengesha,anakuwekea kwa mpalange....
Wanakomba nyota zote
Pesa unayompa kwa njia ya miamala hawezi kuichafua, pesa mbaya ni ile unayompa kesh mkononi, hii ndio anaweza kuichafua halafu akakurudishia, kama hujui ukiingiza kwenye mzumguko wa biashara yako umekwisha, unashangaa biashara inaporomoka kiajabu ajabu, na kama sio mfanya biashara unashangaa hufanyi chochote cha maana zaidi ya kuchumia tumbo tuJe, pesa niliyompa kwa njia ya Benki au Mpesa means haikugusa mikono yangu kabla ya kumfikia ina connection ipi na huu ulozi Mkuu.
Alafu cha ajabu anaswali yeye na familia yake kutwa nzima. Hakuna swala inawapita tangu ile ya alfajiri mpaka usiku.. Alituuzia hapa tulipojenga akapata milioni 24 ila baada ya mwezi kaanza kukopa. Akajenga choo cha nje hakijapauliwa mlango wa mabati wa kusogeza. Nyumba ya mke mkubwa ya zaman mabati yanapeperuka.. Yan hata ungekuwa prof huwez mwelewa maisha anayoishi.Ni kweli inasumbua ila hata hao wahusika hawana raha wala starehe maishani mwao.. Pamoja na kwamba hawatumii nguvu wala kutoa jasho ila pia hawafanyi mambo ya maendeleo sanasana wanapata vihela vya kula kula hata kununua nguo nzuri pale wanapotaka hawaruhusiwi.
Mimi ninajirani yangu huyo mzee anaogopeka mtaa mzima hata maduka mengine hawapokei pesa yake. Lakini cha ajabu wiki mbili zilizopita wamekatiwa maji wanachota kwetu sie waliokuwa wakitudhulumu. Kila kitu wanachokula wanakopa ila kwenye kuomba chench wanatoa wekundu mpya kila siku. Hahaha.
Mambo sio marahisi hivyo acha uongoPesa unayompa kwa njia ya miamala hawezi kuichafua, pesa mbaya ni ile unayompa kesh mkononi, hii ndio anaweza kuichafua halafu akakurudishia, kama hujui ukiingiza kwenye mzumguko wa biashara yako umekwisha, unashangaa biashara inaporomoka kiajabu ajabu, na kama sio mfanya biashara unashangaa hufanyi chochote cha maana zaidi ya kuchumia tumbo tu
hatari sana aisee!!Kuna aina nyingi za utajiri wa kishirikina ambazo zinazungumzwa kila siku, ila kuna aina hii ya utajiri ambao watu wameunyamazia lakini unaumiza watu wengine katika utafutaji. Kuna watu kazi yao ni kuharibu nyota za watu na kuzichukua wao
Anaweza kuja kwako akakuazima pesa kidogo akaenda kutumia hela yako hiyo hiyo kukuchafulia nyota yako. Mtu huyu anaweza asikurudishie hela yako kabisa, au akairudisha hela ile ile baada ya kuichafua.
Unaweza kushangaa mbona mtu huyu yuko vizuri kiuchumi lakini ananiazima mimi choka mbaya hela.
Mungu atulinde na hili katika utafutaji wetu