[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hela yangu mbuzi dah [emoji23][emoji23][emoji23]So far hiyo pesa yako ni mbuzi na sio rahisi kupata friji mpya ya milango miwili kwa hela hiyo. So far kama unaweza ukapanda panda, nenda pale kwenye jengo jipya la Usharika karibu na Mnazi mmoja. Floor ya chini kushoto kuna duka la Hisense... 'Ukiwaimbisha' wanaweza wakakuuzia kwa bei nzuri...
Hitachi mpya kuanzia 2.3mPoleni na majukumu wana jamvi!
Nina kiasi cha laki tano, ninaomba kujuzwa juu ya aina ya friji yenye milango miwili ambayo ni nzuri na ninaweza kuinunua kwa hela niliyonayo.
Niko Dar es salaam, nitashukuru nikielekezwa pia maduka yenye hizo friji pia.
Natanguliza shukrani!
Westpoint ya ukweli ila recently wamechakachua sana bidhaa zao.Westpoint ndio wa ukwel hao wengine majina tu
nilipata Lg used 2009 mpaka leo 2016 sijawahi ongeza gesi, mashine iko poa sana ni original matata, umeme ratio zake ziko poa sana. Nikiweka wa 15,000/= nadunda nalo mwezi mzima, achilia pasi, music, brenda. Aisee LG fagilia wa wa waaaah napeta mjini kiulaini life economical base aiseeNunua american style lg au samsung nenda pale mlimani jitahidi mfukoni uwe kama na milioni mbili mpaka nne
Mkuu mbona so far nyingi au ndio mambo yetuSo far hiyo pesa yako ni mbuzi na sio rahisi kupata friji mpya ya milango miwili kwa hela hiyo. So far kama unaweza ukapanda panda, nenda pale kwenye jengo jipya la Usharika karibu na Mnazi mmoja. Floor ya chini kushoto kuna duka la Hisense... 'Ukiwaimbisha' wanaweza wakakuuzia kwa bei nzuri...
πππππ Mambo yetu yapi hayo mkuu?Mkuu mbona so far nyingi au ndio mambo yetu