AINA IPI YA GARI INAFAA.

M2pc

Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
89
Reaction score
58
Habari yenu wanajamvi. Nina mpango wa kudunduliza kahela kangu ili nimiliki daladala. Nina target kuiweka dar. Najua daladala zinazo piga kazi dsm ni zile kubwa coaster naomba mnisaidie specifications za gari inayo takiwa ni zipi , gari ni iweke route gani ?na taratibu za kupata hiyo route zikoje? Na makusanyo huwa ni kias gan kwa siku. Kwa kuanzia nataka nianze na used unaweza kupatikana kwa sh ngapi . natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…