Aina mbalimbali za mbegu za Nyanya Hybrid na maeneo zinazokubali kwa mavuno mengi.

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
258
Reaction score
110
Kuna aina nyingi sana za mbegu za Nyanya Hybrid.
Zifuatazo ni mbegu na maeneo zinazokubali na kupata mavuno mengi.
1.Eden f1 inakubali maeneo yote tanzania.
2.Assila f1 tanzania nzima.
3.Shanty f1 tanzania nzima.
Wadau endelezeni mbegu zingine.
KARIBUNI
 
Zinapatikana maduka yote yauzayo mbegu au vipi???
 
Mbona wadau hawatupi majibu tuliyo uliza?nashangaa hata mtoa mada ameingia mitini.
 
Eden f1 Shs 302,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Asilla f1 Shs 482,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Shanty f1 Shs 480,000 kwa ekari moja, inapatikana maduka yote Tanzani lakni kwa uhakika nenda pale Mwenge Balton.
Mbegu zote unavuna ndani ya siku 75.
Nawakaribisha kwa maulizo na majadiliano
 
Hata makambako zipo Kibo Trading kwani ndie wakala wa mosanto Tanzania bei 10g @50000 had 75000 asilla inabei kubwa zaidi kuliko Eden f1 ila Eden inamavuno makubwa
 
Asanteni,lakini hii Mada bado inahitaji maelezo ya kina saana.
Bado kila mtu anapiga kijuu juu.
Ngoja wazoefu waje watupe in details
 
Hata makambako zipo Kibo Trading kwani ndie wakala wa mosanto Tanzania bei 10g @50000 had 75000 asilla inabei kubwa zaidi kuliko Eden f1 ila Eden inamavuno makubwa

kwanini Asilla ina bei kubwa lakni imepitwa kwa wingi wa mavuno na Eden f1?
Ina kipi cha ziada?
 
Eden f1 Shs 302,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Asilla f1 Shs 482,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Shanty f1 Shs 480,000 kwa ekari moja, inapatikana maduka yote Tanzani lakni kwa uhakika nenda pale Mwenge Balton.
Mbegu zote unavuna ndani ya siku 75.
Nawakaribisha kwa maulizo na majadiliano

Asila f1 inazalisha tani ngapi kwa ekari moja
 
Kuna aina nyingi sana za mbegu za Nyanya Hybrid.
Zifuatazo ni mbegu na maeneo zinazokubali na kupata mavuno mengi.
1.Eden f1 inakubali maeneo yote tanzania.
2.Assila f1 tanzania nzima.
3.Shanty f1 tanzania nzima.
Wadau endelezeni mbegu zingine.
KARIBUNI
zingine ni
Kipato F1
Nyati F1
 
Eden f1 Shs 302,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Asilla f1 Shs 482,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Shanty f1 Shs 480,000 kwa ekari moja, inapatikana maduka yote Tanzani lakni kwa uhakika nenda pale Mwenge Balton.
Mbegu zote unavuna ndani ya siku 75.
Nawakaribisha kwa maulizo na majadiliano
Mwenge balton nielekeze vizuri ndugu (Niko tegeta ) nifate nataka nilime kwa green house
 
Wakuu kwema?
Jamani naombeni mwongozo wa kupruni matawi ya nyanya huwa yanafanyika nyanya ikiwa imefikisha mda gani?na je ni matawi yapi yanatakiwa yapruniwe?dhumuni la kufanya hivyo ni nini sana sana?
 
Back
Top Bottom