mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
Mbona wadau hawatupi majibu tuliyo uliza?nashangaa hata mtoa mada ameingia mitini.
Hata makambako zipo Kibo Trading kwani ndie wakala wa mosanto Tanzania bei 10g @50000 had 75000 asilla inabei kubwa zaidi kuliko Eden f1 ila Eden inamavuno makubwa
Hata makambako zipo Kibo Trading kwani ndie wakala wa mosanto Tanzania bei 10g @50000 had 75000 asilla inabei kubwa zaidi kuliko Eden f1 ila Eden inamavuno makubwa
Eden f1 Shs 302,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Asilla f1 Shs 482,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Shanty f1 Shs 480,000 kwa ekari moja, inapatikana maduka yote Tanzani lakni kwa uhakika nenda pale Mwenge Balton.
Mbegu zote unavuna ndani ya siku 75.
Nawakaribisha kwa maulizo na majadiliano
zingine niKuna aina nyingi sana za mbegu za Nyanya Hybrid.
Zifuatazo ni mbegu na maeneo zinazokubali na kupata mavuno mengi.
1.Eden f1 inakubali maeneo yote tanzania.
2.Assila f1 tanzania nzima.
3.Shanty f1 tanzania nzima.
Wadau endelezeni mbegu zingine.
KARIBUNI
Asila f1 inazalisha tani ngapi kwa ekari moja
Balton n wazalshaj wa mbeguJamani kuna mbegu eti inaitwa balton?
Mwenge balton nielekeze vizuri ndugu (Niko tegeta ) nifate nataka nilime kwa green houseEden f1 Shs 302,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Asilla f1 Shs 482,000 kwa ekari moja, zinapatikana maduka yote lakni kwa uhakika wauzaji wakuu wapo Arusha.
Shanty f1 Shs 480,000 kwa ekari moja, inapatikana maduka yote Tanzani lakni kwa uhakika nenda pale Mwenge Balton.
Mbegu zote unavuna ndani ya siku 75.
Nawakaribisha kwa maulizo na majadiliano
Mwenge balton nielekeze vizuri ndugu (Niko tegeta ) nifate nataka nilime kwa green house