Aina Mbili za Wezi katika Jamii Zetu

Aina Mbili za Wezi katika Jamii Zetu

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
26,021
Reaction score
79,710
Kuna aina mbili za wezi katika kila Jamii.

1. Mwizi wa Kawaida
2. Mwizi wa Kisiasa

Mwizi wa kawaida huiba vifuatavyo Pesa, mkoba, saa ya dhahabu n.k.

Lakini, mwizi wa kisiasa huiba future yako, career yako, elimu yako, afya yako, biashara n.k.

Kinachochekesha zaidi ni kuwa mwizi wa kawaida huchagua amuibie nani lakini wewe mwenyewe ndio unamchagua mwizi wa kisiasa ili akuibie.

images (47).jpeg


Lakini cha ajabu zaidi ni kwamba polisi watafanya juu chini kumkamata na kumfunga mwizi wa kawaida lakini polisi hao hao wanamlinda mwizi wa kisiasa.

images (45).jpeg


Huo ndio unafki wa jamii yetu ya sasa. Na tunasema kuwa sisi sio vipofu katika upofu wetu wa akili.
images (46).jpeg

Na upumbavu mkubwa zaidi ni kuwa tunapambana sana na kuua mwizi wa kawaida lakini wakati huo huo tunapambana, kutukanana na kuuana sisi kwa sisi kwasababu ya mwizi huyu wa kisiasa (refer Team Lumumba vs Team Ufipa).

Take it or leave it. That is my take.

😎😎😎😎🙄🙄🙄🙄🙄

Imenakiliwa.
 
Kumlinda mtawala na watu wanaotakiwa kumlipa kwa kodi sababu mali zao zikipotea atakosa kodi itakayomfanya ale na kustarehe
Polisi wetu wanalinda watu na mali zao kweli au wanamlinda tu mtawala?
 
Back
Top Bottom