Aina Mpya ya Viatu hiyo toka Ulaya

Aina Mpya ya Viatu hiyo toka Ulaya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Haya Wabongo Nataka kuvileta hivyo Viatu hapo bongo je nitawapata wateja niko Majuu jamani Ughaibuni toeni Ushauri wenu nivilete hapo bongo hivi Viatu?
 
Attachments

  • image001.jpg
    image001.jpg
    38.7 KB · Views: 714
  • image002.jpg
    image002.jpg
    41.1 KB · Views: 899
  • image003.jpg
    image003.jpg
    25.9 KB · Views: 656
  • image005.jpg
    image005.jpg
    42.3 KB · Views: 520
Mh! Ukisikia mauzauza ndio haya. Hivyo viatu vingine unaweza kusababisha watu wakukimbie ati..
 
Hahahahaha daaah!ntakua wa kwanza kununua, leta tu mkubwa.
 
Haya Wabongo Nataka kuvileta hivyo Viatu hapo bongo je nitawapata wateja niko Majuu jamani Ughaibuni toeni Ushauri wenu nivilete hapo bongo hivi Viatu?

Mhhh, Kaka hivi viatu tunavaaje?
 
if its fashion, let it pass me by....sivai hata ukinipa bureee bin free!!!! kisa cha kupata nightmares!!!
 
Mbona vimekaa kichina china!!!?

MziziMkavu viatu hivi vinatisha bana
 
Haya Wabongo Nataka kuvileta hivyo Viatu hapo bongo je nitawapata wateja niko Majuu jamani Ughaibuni toeni Ushauri wenu nivilete hapo bongo hivi Viatu?

Ha ha ha ha ha siyo kila fashion inayotoka lazima uwe nayo. Nyingine ni za kuangalia tu na kuachana nazo. Kuna baadhi ya viatu vya kike na vya kiume sasa hivi viko kwenye fashion lakini vina sura mbaya sana basi niikutana na waliovivaa huwa nasmile tu....LOL!
 
Back
Top Bottom