Aina na viwango vya kodi ya biashara

Ile miez ya mwanzo lazima ukadiriwe sababu bado huna taarifa za mwaka ndio kwanza umeanza biashara mpaka utakapokuwa tayari unahesabu za mwak ndio Mambo mengine yataangaliwa Sasa. Je unalipa au la. Sema katika kukadiriwa taarifa zikiwa nusu ndio yafaa iwe 150k
 
Taarifa kua nusu ndio kupoje au kuanza biashara kwa kua ni mpya haujui mzunguko wake ndio nusu yenyewe ya taarifa
 
Out of mada...

Mkuu kama kuna kampun marekani inaitwa ABC softwares na inajihusisha na maswala ya teknolojia, je mimi nikifungua yangu hapa tz na kuisajili kama ABC marketing na nikawa sijihusishi na teknolojia kutakua na shida yeyote kisheria??
Hiyo ishu ni ya kisheria Zaid lakini nadhan kwa upeo wangu mdgo wa Sheria hayo majina yanakaribia kufanana lakini si sawa. Hivyo upo uwezekano mkubwa kusiwe na shida. Ila ningerecommend umpate mwanasheria anaejihusisha na Mambo ya copyright zaidi
 
Hiyo ishu ni ya kisheria Zaid lakini nadhan kwa upeo wangu mdgo wa Sheria hayo majina yanakaribia kufanana lakini si sawa. Hivyo upo uwezekano mkubwa kusiwe na shida. Ila ningerecommend umpate mwanasheria anaejihusisha na Mambo ya copyright zaidi
Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu!!
 
Safi sana na hongera kwa elimu
 
sante boss
 
Habari mkuu Benittotz! Vipi kuhusu seif assesment! Na instalments ambazo unatakiwa kulipa kwa mwaka? Na ikifika mwisho wa mwaka, ukiandaa financial reports, jinsi ya kufanya adjustments...!!! Hata ukitoa ufafanuzi kidogo,,,nisaidie kama ikiwezekana, notes ulizonazo aisee.
 
.habar wakuu,je kama mtu kipato chake hakizid 4m anatakiwa kupewa lesen y biashar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…