Aina nne (4) za wanawake michepuko

Aina nne (4) za wanawake michepuko

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
1. MCHEPUKO LAMI:
Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.

2. MCHEPUKO VUMBI:
Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time.

3. MCHEPUKO KOKOTO:
Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu...Yaani tabu tupu!

4. MCHEPUKO MATOPE:
Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu

Mchepuko acha acha baki na mmoja.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Nimependa hiyo namba 1. Lami

Huo ndio unasukumwa na penzi siyo pesa wala kingine!

Yani hata mwanaume akikwama saingine anam-boost kifedha kimawazo ya maendeleo n.k.

Halafu kundi hilo hata maswala ya ulozi na ushirikina ili kumshika mwanaume afanye wayatakayo hawanaga kabisa kwa jinsi Uzoefu ulivyo.

Sababu motives ya kufanya hivyo haipo na ikibidi kuachana mwanamke anao uwezo wa kiuchumi wa kuendelea na maisha yako.

Kwako studio namba 1 Mleta mada etal.

[emoji441][emoji442]
 
Kuna "MCHEPUKO KIFUSI", huu hata ukatambike huku umechutama hauachiki ngo'.

Yani umeweka kambi ya kufa na kuzikana kabisa, hata ufanye vitimbi gani ili akuache wenyewe unakujibu we fanya ufanyayo kwangu fresh, huniachi. Lazima upate kizunguzungu halafu mwili wote lazima ufe ganzi.
 
Kuna "MCHEPUKO KIFUSI", huu hata ukatambike huku umechutama hauachiki ngo'.

Yani umeweka kambi ya kufa na kuzikana kabisa, hata ufanye vitimbi gani ili akuache wenyewe unakujibu we fanya ufanyayo kwangu fresh, huniachi. Lazima upate kizunguzungu halafu mwili wote lazima ufe ganzi.
[emoji1787]
 
Back
Top Bottom