Aina nne za Ugomvi ambao hutakiwi kuuingilia

Aina nne za Ugomvi ambao hutakiwi kuuingilia

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
1. Ugonvi wa watoto:
watoto wanapocheza pamoja wakigombana, jambo aya ni wazazi wa watoto kugombana pia kwa kesi za watoto, unless hizo shida zinaleta hatari ya maisha, usiingilie, mtagombana kisha baada ya muda watoto watacheza pamoja wakati nyie watu wazima mmeshagombana.

2. Wapenzi:
mambo ya mapenzi kama umeamua kugombeleza, jitahidi usichague upande. watagomabana then wakija patana wataanza kuhadithiana kua wewe ulisema a,b,c. kama umeshindwa kukaa kimywa, bas usi pick side.

3. Ndugu:
waswahili wasema, ndugu wakigimbana beba jembe ukarime, collect, ndugu wakigombana kam vile wapenzi, either ukae kimya au ugombelezeee bila kutake side.

4. Wanasiasa:
wanasiasa ni kama hawana principle. ni kama USA anavyosema"hawana audui wa kudumu, wanaangalia manufaa tu" kama vile aidi waliotangaza dau la milion 10 kwa atakae mpata na sasa wanakaa nae meza moja. kwa Tanzania pia ni vile vile.

Mind your own business.
 
IMG_1042.jpeg
 
Vipi hili tifu la mbowe na lissu, humu ndani tunaparurana vibaya, je wakipatana katika siasa zao itakuaje?
 
Back
Top Bottom