Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasasa Kuwait dinar moja sawa na shilingi ngapi?
Kitu gani kinafanya pesa iwe na thamani? Hili swali nimejiuliza, mf; Zambia iliongeza thanani ya pesa yake sina uhakika na figure but ni kama elf moja wakaifanya iwe tsh moja. Je ukifanya hivyo hata kwa shilongi utasema pesa yetu inathamani kwa ulinganisho uliofanya?Malyenge umeelewa vizuri nilichokuwa nasema..watu wengi wanadhani dola ndio yenye thamani kubwa kwa kuwa inaonekana kila sehemu sivyo..katika currency kumi zenye thamani duniani us dola haipo..kuna vinchi vidogo visivyojulikana lakini pesa zao zipo juu sana..kuwaiti dinar ukiwa nazo 2000 ata waarabu wenyewe watakushangaa is so poweful..ni mara tatu ya dola..chasa anasema hajawai kuziona kwenye exchange zipo...au tumia tu simu yako google currency conveter itakupa jibu..nashukuru sana kunielewa malyenge
Serikali kupitia central bank wakiamua kupandisha au kushusha thamani ya fedha wanafanya hivyo purposefully.Kitu gani kinafanya pesa iwe na thamani? Hili swali nimejiuliza, mf; Zambia iliongeza thanani ya pesa yake sina uhakika na figure but ni kama elf moja wakaifanya iwe tsh moja. Je ukifanya hivyo hata kwa shilongi utasema pesa yetu inathamani kwa ulinganisho uliofanya?