Aina tano za pesa zenye nguvu duniani...WHY

Aina tano za pesa zenye nguvu duniani...WHY

Hapa kuna mambo mawili tofauti yanayoongelewa kwa pamoja bila watu kuelewa na ndo maana hamuelewani.. Kuna swala la THAMANI YA PESA (CURRENCY VALUE) na NGUVU YA PESA KIBIASHARA(commonly traded currencies)...Ukiongelea nguvu ya pesa kibiashara ndo hapo unakutana na USD ikifuatiwa na Euro na hizi pound sijui ambazo ni popular na zina nguvu kibiashara kutokana na nature ya nchi zake (USD - Marekani)..lakini ukija kwenye swala la Thamani ya pesa ndo unakutana na kina Dinar za kuwait na nyinginezo zilizotajwa hapo juu..Kwa kithibitisha haya someni hizi link mtaelewa zaidi tofauti yake:

Highest-valued currency unit - Wikipedia, the free encyclopedia

The 6 Most-Traded Currencies And Why They're So Popular
Wewe bwana sijui nini umemaliza mambo yote sijuhi ni kwanini chasha hakunielewa japo nimetoa mifano mingi sana...sikuitaji kujua mambo mengi aliyosema nimemwambia tangu mwanzo kuwa kama X akiwa na kuwaiti dinar 50 na Y akiwa na uk pound 50 wakiamua kwenda pale posta kubadilisha mwenye kuwait dinar atakuwa na pesa nyingi kuliko mwenye pound....yaani Kuwait dinar ina thamani zaidi..nashukuru sana SIJUI NINI
 
Anyone with just the rudiments of training in the so called dismal science (economics) ought to know that a very dear currency is not necessarily a good thing, especially for exports.

The Chinese are fighting tooth and nail, unfairly, to keep their Yuan cheaper than the free market would allow, in order to promote Chinese exports to the rest of the world.

It is a rather counterintuitive concept if one is not looking under the hood of international trade.

Of course, the worst of both worlds is having a cheap currency and nothing to export, like our case.
 
mkuuu naona unaangalia comparison ya hizi currencies na madafu lakini kiukweli usd ndio inatumika zaidi kwenye trading ndio maana wachina wana reserve kubwa ..........ya usd .....tuache theory za darasani make tutachanganyana humu ....ila tu kuwa na reserve kubwa ya usd ,kuongeza reserve ya gold na kuzalisha vitu saana na kuuza nje ili tupate pesa za kigeni zaidi vinaweza saidia kuinua exchange rates yetu

addition, na kupunguza uagizaji wa vitu nje.
means ( kuzalisha zaidi na ku-export huku tuki-import bidhaa kidogo)
 
addition, na kupunguza uagizaji wa vitu nje.
means ( kuzalisha zaidi na ku-export huku tuki-import bidhaa kidogo)

Point nzuri lakini kuwait ambao pesa yao ndiyo yenye thamani kubwa sana wana import kila kitu..yaana climate ya nchi yao haiwaruhusu ata kulima nyanya..wanaagiza kila kitu na ku export oil tu..hawana vivutio vya utalii kama kwetu..hawana gold wala tanzanite..hawana mbuga za wanyama nk
 
sasa naomba kuuliza kidogo..
ina maana iyo thamani ya rial 20 ni sawa na ile thamani ya pound 20??
kwa mfano
nikiwa na rial 20 nikanunua pikipiki, je, nikiwa na pound 20 pia nitanunua the same pikipiki?
kama ni hivyo basi sawa manake ukija na hizo pikipiki bongo
ile ya oman utauza kwa sh 84,420 na ya uingereza atauza kwa 50,000 (ni mfano tu, pikipiki haicost pesa iyo)
watapishana faida ya 41%!!
then apo mtoa mada atakuwa poa!!:biggrin:
 
Kaka mada inaeleweka kwa urahisi sana..pesa yenye thamani mfano ukipata usa dola 6000 unaweza kuagiza toyota vitz nzuri toka japan lakini ukipata kuwait dinar 6000 unaweza si tu kuagiza toyota vitz bali wawezaagiza toyota landcruiser maana kuwait dinar 6000 inakaribia dola za marekani 24,000/!!
 
ohhh?!!
Yess i completely agree with you.
kweli Kuwait Dinar ina value sana.
hizo currency zingine mfano USD EURO na GBP ni kwamba zipo maarufu tuu kwenye trading in business world.
Nimekusoma!!!
:yo:
 
ohhh?!!
Yess i completely agree with you.
kweli Kuwait Dinar ina value sana.
hizo currency zingine mfano USD EURO na GBP ni kwamba zipo maarufu tuu kwenye trading in business world.
Nimekusoma!!!
:yo:

Kweli kabisa sinzaboy
 
mimi siyo mchumi lakini kwa kutumia common sense dhamani ya fedha haipimwi kwa idadi kubwa au ndogo ya namba.kwa mfano dola moja ya usa ni sawa na dola 1.2 ya australia na ni sawa na yen 75 za japan.sasa ukichukua juujuu hizo figure hapo juu ni fedha gani inadhamani kubwa kwa wenzake unaweza ukasema us dollar ipo juu kitu ambacho ni wrong, huwezi amini kwa wakati huu waziri mkuu mpya wa japan anachukua hatua za kifedha ili dhamani ya dola moja ya us iwe sawa na yen 100 za kijapan sababu ni kwamba yen imekuwa na thamani kubwa kiasi ambacho ni cheap kwa kampuni ya japani kujenga kiwanda na kuzalisha bidhaa america kuliko nyumbani japan, na pia dhamani ya fedha iko reflected na jinsi gani inakubalika kwenye masoko ya nje, si ajabu mtu akija na hizo dinar za kuwait akataliwe kununua kitu kwenye supermarket hapa tz, lakini akiwa na us dollar vipi!!!
 
Umechanganya kidogo 1 australian dollar ni sawa na usd 1.2,dola ya australia ina thamani zaidi
 
Somo la uchumi linahitajika kujuwa kwanini ela moja ina "thamani" kuliko nyingine. Ona na kumbuka hayo mabano kwenye neno thamani; kwasababu thamani ya ela SIO LAZIMA ihakisi kiasi kinachohitajika kubadirisha kwenda kwenye ela nyingine kwasababu nitakazozieleza hapa chini.

Ili tuwe mstari moja lazima tuifikirie ela ya nchi moja (Zenji) kama bidhaa, mfano ndizi, kwasababu za kiuchumi ambazo ni ndefu kuzieleza. Kadhalika ela ya nchi inayoitwa Dar tuione kama bidhaa tofauti kama chungwa.

Sasa naona tuko pamoja. Kwenye mfumo wa soko huru (yaani Zenj na Dar vinauziana vitu kwa kiwango chochote na bei ambayo inapangwa na soko), ndizi za Zenj zitabadirishwa na machungwa ya Dar. Ndizi ngapi Dar watahitaji? Itategemea na mahitaji yao ya ndizi, ila wajuwe kwamba kadri Dar wanavyohitaji ndizi nyingi ndipo wanapoyakacha machungwa yao. Kwao machungwa sio dili tena na wako tayari kuyatoa mengi (machungwa tenga 7 kwa ndizi moja, kwa mfano). Manake ela inayoitwa chungwa itakuwa imepungua thamani kutokana na nguvu ya soko.

Twende mlango wa pili wa kushuka kwa thamani ya machungwa: Ebu fikiria endapo Dar watasema hawajali na hawataki kusikia soko huria wala mchawi anayeitwa nguvu ya soko (invisible hand of free market a.k.a forces of demand and supply). Manake Dar watawabia Zenj kwamba watake wasitake ndizi moja zitanunuliwa kwa machungwa 2 tu, Dar hawatapenda kuongeza idadi ya machungwa lakini Zenji wako huru kuongeza idadi ya ndizi zinazohitajika kununua chungwa. Hapa unaweza kudhani kwamba machungwa ya Dar yana thamani, unaweza usiwe sahihi kwasababu thamani ya machungwa hayo ni thamani ya kisiasa au kiserikali, sio ya kiuchumi wala nguvu ya soko. Kwanini? Kwasababu mtu/watu wa Dar wanaweza wakawa wanahitaji sana ndizi za Zenj na wakawa tayari kubadirisha machungwa 4 kwa ndizi moja, lakini serikali yao haitawaruhusu. Kwenye aina hii ya soko, thamani ya ndizi na machungwa sio thamani halisi bali "thamani".

Naamini hapa utakuwa umepata jibu la kwanini ela moja ina thamani na nyingine haina. Kwamba inategemea na mahitaji ya ela hiyo pale mfumo wa nchi unaporuhusu free market (flexible exchange rate system kama wachumi wanavyohita) na pia inategemea na maamuzi ya serikali pale inapoamua kupanga bei (fixed exchange rate regime). Ila funguo muhimu ya majibu yangu ni assumption kwamba machungwa na ndizi (ela za nchi husika) vinanunuana. Kama havinunuani basi sahahu nilichokiandika. Kwa maneno mengine; majibu yangu yanaleta maana tu endapo ela zote zikiwa sokoni zinahitajika (full convertibility).
 
Swali zuri na linaeleweka halina haja ya kulibabaisha wala kujibabaisha.
Kwa kuwa umeuliza as if u are "layman" in the field, na mimi naekujibu pia najifanya kama "layman" katika majibu yangu. Ukisoma kwa pamoja na majibu ya sijui nini, mtaalam aliyetolea ufafanuzi wa "Thamani ya pesa na nguvu ya pesa" mi naongeza yafuatayo:-
Ukiitoa Marekani ambayo stability and strength ya fedha yake inategemea zaidi na kukubalika kwake duniani kote(hili somo refu kidogo tuliache), na UK ambayo thamani yake inatokanana mfumo mzuri kabisa wa fedha ulioko UK (London na miji mingine ya UK ndiyo kitovu cha soko la fedha (Strong Financial system based cities), nchi nyingine ulizozitaja hazina sifa ya nchi hizo mbili. Lakini, thaman ya fedha inategemea na ukubwa na upana katika uzalishaji wake wa bidhaa tofauti ambazo ina-trade na nchi nyingine duniani. Katika muktadha huu:-
1. Nchi ambazo zina uwezo wa kuzalisha sana kiasi cha kutosha na ku-export sana inatarajiwa kuwa fedha yake itakuwa "imara" na thamani yake relatively cheaper. Kinyume chake, ikiwa nchi haizalishi na wala haiuzi sana nje lakini fedha yake ni "relatively cheaper" jua hapo kuna matatizo ya uchumi hivyo yanahitaji maelezo mengine.
2. Nchi ambazo hazina upana wa uzalishaji wa bidhaa tofauti-tofauti na hivyo kutarajia ku-import sana sehemu kubwa ya bidhaa zake (non-reciprocally) inatarajiwa kuwa fedha yake itakuwa juu(bidhaa kuwa ghali sana) kwa kuwa bidhaa zote ni imported (kinyumeche, nchi ina matatizo ya kiuchumi hivyo itahitaji maelezo ya ziada kuelezea). Je kwani Kuwait, Bahrain, Oman, na nyinginezo hazizalishi, si wanazalisha mafuta? Jawabu ni kwamba, mafuta katika uchumi ni bidhaa inayoitwa "inelastic" (less responsive) product, kwamba kubadilika kwake kwa bei kwa kiasi fulani hakubadilishi demand yake. Ndiyo maana wakati nchi zinapigana kushusha thamani ya bidhaa zake ili kuzifanya ziwe rahisi nje, hawa jamaa wana umoja wa kuongeza bei ya bidhaa yao hiyo, na dunia haitaacha kununua isipokuwa kusikitika na kuwaomba wasipandishe bei(which is contrary to normal trading principle). Kwa hiyo katika kanuni za kawaida za kibiashara za kimataifa, zina ushindani mdogo wa 'kucheza na thamani ya fedha"(Devaluation and revaluation) ili kukidhi mahitaji fulani hususan ya kuongeza mauzo yake nje. Hata hivyo, nchi kama Dubai iko tofauti cause pale Dubai kuna "large number of financial markets" hususan kwa bidhaa za mafuta, utalii nk na hata thamani ya fedha yake ni relatively cheaper. Maelezo yooote haya, matumizi yake hayana budi kusimamiwa na kitu kiitwacho "other things remain constant"-(ceteris paribus)
 
Maelezo mazuri..thanks
 
Kuwait dinar ndiyo pesa yenye nguvu kuliko zote kwa sasa ambapo ukiwa nayo moja ni sawa na hii yetu(Tsh 5509)..ya pili ni Bahrain dinar ambayo moja ni sawa na TSH 4169..Ya tatu ni Oman rial ambayo moja ni sawa na Tsh 4067 ya nne ni latvia lats ambayo moja ni Tsh 2921 na ya tano ni Uk Pound ambayo moja ni Tsh 2409 japokuwa zina badilikabadilika lakini hizi ndio pesa zenye nguvu sana,kwa mpangilio huu dola ni ya kumi na tatu katika pesa zenye nguvu,kuna bwana mmoja aliniambia pesa ya mwarabu ina nguvu kwa ajiri ya mafuta inawezakuwa kweli lakini ni kwanini Nigeria ambayo ni ya sita duniani kwa uzalishaji wa mafuta pesa yao (Naira)haina nguvu??maana pesa ya kenya ina nguvu kuliko ya nigeria..ni vitu gani vinavyofanya pesa ya nchi iwe na thamani???niliambiwa kuna kipindi cha nyuma 1960s pesa yetu ya tanzania ilikuwa na nguvu sana tsh moja ilikuwa kama dola 5 na ilikuwa na nguvu kuliko ile ya kenya,sasa inaporomoka kila siku us dola moja ni sawa na shilingi ya kwetu 1600 wakati us dola moja ni shilingi kama 80 za kenya!!!kwa afrika pesa nne zilizo na nguvu ni cedi ya ghana..pound ya sudan..botswana pula..na rand ya SA...au ufisadi pia unachangia pesa kushuka??maana nigeria kama nilivyosema ni ya sita duniani katika kuzalisha mafuta..inazalisha mafuta mara kumi zaidi ya nchi ya UAE lakini pesa yake naira haina nguvu sana..kwa nini???

hivi hiyo naira ya nigeria huku tz nisawa na shilingi ngapi?
 
Pesa kuwa na thamani sana is not necessarily a good thing.

Pesa ya Mchina ikiachiwa iende na nguvu za soko itakuwa na thamani zaidi ya thamani yake ya sasa, lakini Mchina hataki kuiachia iende kwa nguvu za soko, anataka isiwe na "nguvu" zaidi kwa sababu yeye kama a top exporter pesa kutokuwa na nguvu kunamsaidia katika biashara kwa kuweza ku export zaidi.

Wamarekani wamekuwa wakilalamika sana kwamba Mchina haiachii pesa yake i float by market value, ana i overregulate, for this very reason.

Kwa hiyo tusiangalie mambo kirahisi tu kwamba pesa kuwa na "nguvu" automatically ni kitu kizuri.

Soma hapa Waziri wa Fedha wa Marekani alivyokuwa anawalalamika WaChina kwa kufanya hela yao Yuan isiwe na thamani sana kwa makusudi, jambo ambalo liliwapa disadvantage exporters wengine.

Geithner Says China Must Boost ‘Undervalued' Yuan

http://www.bloomberg.com/news/2011-...o-prop-up-substantially-undervalued-yuan.html

This is Forex 101.
 
migongano yote hiyo hapo juu imesababishwa na mtoa mada...ameshindwa kutofautisha thamani ya fedha na guvu ya fedha.....hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa, namaanisha hivii
1-thamani ya fedha
hapa unazungumzia kubadilisha fedha ya nchi fulani ili upate fedha ya nchi nyingine kwa ajili ya matumizi. halali ya nchi husika, mf. ukienda Kenya na pesa ya Tanzania lazima ubadilishe ili uweze kuitumia kwa thamani halisi.
2-nguvu ya fedha
hapa ndipo penyewe kwani ili uchumi wa nchi uendelee ni lazima kuwe na ushirikiano na nchi nyingine kibiashara na huko ndiko taifa lenye utawala wa soko (kununua na kuuza) ndilo ambalo fedha yake itakuwa na nguvu zaidi kwa sababu wao ndio watawala mf. ukitaka kuuza wao ndio wanunuaji wakuu na ukitaka kununua wao ndio wauzaji hivyo kuifanya fedha yao kutawala soko kutokana na mzunguuko wa fedha yao.
hivyo basi kwa fedha yenye thamani zaidi utakuwa sahihi kama ulivyosema lakini kwa fedha yenye nguvu ni US dollar.
 
Kwa upande wangu,

Thamani ya pesa inatokana na Nguvu ya soko na Mkono ya serikali kwenye kuipa thamani pesa yake.

Serikali inakuwa na mkono wake kwenye kuweka thamani ya pesa yake, sio nguvu za soko. Either kuishusha thamani au kuiongezea thamani nia yake inaweza kuongeza mauzo ya nje au kushusha mfumuko wa bei nchi husika. Hapa kina Yuan, Dinar, Pound zinaangukia. Hata serikali yetu inaweza kuamua kuipa thamani pesa yetu kuzidi hata hao kina Dinar ila lazima kuna matatizo makubwa kwenye uchumi yatakuja.

Ila kama Serikali ingekuwa inaachia nguvu ya soko kuchukua nafasi yake, nadhani hakuna wa kumpiku USD na EURO kwasababu inatumika sana duniani.
 
Back
Top Bottom