Aina ya gari hii sifa zake zikoje?

bz Beyond zero
Hii ni electric car 100%
Sasa kama huko zipo za umeme nishtue
Ila kwa duniani kidogo soko limeshuka mwaka huu sijui tumlaumu Putin tena
 
Hii ni TOYOTA COROLLA CROSS 169-hp 2.0-liter I-4 engine ni bora kwenye ulaji wa mafuta, spacing, comfortability na suspension zake. Changamoto labda ni hybrid kwani nyingi zinatumia mfumo wa gesi na spea bro bei zimechangamka. Ila unaweza imudu ukiamua. NI hayo tu
 
Hii gari niliwahi kuinunua, kisha nikaitoa sadaka sabatoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…