Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwa Mujibu wa BeFoward!
View attachment 2051408
View attachment 2051409
Toyota ndio Brand pendwa kwetu watanzania!
Nafikiri ni kwa sababu ya ufanisi wake ktk maeneo yake mbalimbali.Huu ni mwaka WA nne bado harrier inaongoza Kwa kununulika....hii gari ina Siri gani mpaka ipendwe hivi?
Kigari kikishakuwa hivi ujue kina ugomvi na sheli na ndio ambacho wabongo wengi wanapenda😂Yaonyesha ni fuel economy! View attachment 2052554
Harrier ni gari ya heshima na ina appealing looks hasa on custom wheels!Huu ni mwaka WA nne bado harrier inaongoza Kwa kununulika....hii gari ina Siri gani mpaka ipendwe hivi?
Ila ni kweli!!!!!Harrier ni gari ya heshima na ina appealing looks hasa on custom wheels!
Ukifunga 20” spokes za kibabe gari inakuwa na elegance flani hivi ya kibabe mno.
Eeh hio ukinunua unatumia tumia kisha unavuta 17M yako chap unarudisha kibindoni hata namba ikiwa DE alimradi body imenyooka haina mikwaruzo huwezi kosa 15M ambayo ni almost half the price ya kuagiza.Ila ni kweli!!!!!
Ni gari yenye muonekano mzuri pia nahisi kwenye resales haisumbui ni ndani ya siku 3 unapiga pesa
Angalia chuma inavyopendeza.Ila ni kweli!!!!!
Ni gari yenye muonekano mzuri pia nahisi kwenye resales haisumbui ni ndani ya siku 3 unapiga pesa
Hamna gari hapo 🤣🤣🤣Harrier ni gari ya heshima na ina appealing looks hasa on custom wheels!
Ukifunga 20” spokes za kibabe gari inakuwa na elegance flani hivi ya kibabe mno.
Most autos zina gear 4 mzee sijajua sababu ni nini ila ni kawaida kwa gari za japanHamna gari hapo 🤣🤣🤣
Kwa gari ndogo sawa, ila kama harrier gia 4 ni uto kama uto 🤣🤣🤣Most autos zina gear 4 mzee sijajua sababu ni nini ila ni kawaida kwa gari za japan
Kizuri sana misheni town ..chenyewe na jimny kinaenda popote ...alto 660ccKigari kikishakuwa hivi ujue kina ugomvi na sheli na ndio ambacho wabongo wengi wanapenda😂
Kwa week wasiende zaidi ya mara mbili.
HahahahahahKwa gari ndogo sawa, ila kama harrier gia 4 ni uto kama uto 🤣🤣🤣